Labda nilikuwa in such pain, sikukumbuka kupiga picha wakati wa msiba though nilikuwa na kamera. Hizi hapa chini ni za Jumapili siku tulipoanua tanga. Kuna kitu inaitwa 'kutoa wafiwa outingi'. 
|  | 
| The big Mboros, R to L; Mzee Anthony, Shangazi Katarina, BaMdogo Bernard, Mzee John, Mzee Joachim na kule mwisho a very veteran teacher Mzee Bruno. | 
|  | 
| Kulikuwa na kamburu pia, R to L Anthony, Mzee John, Mzee Ben, Capt. (rtd) Willy na Adam. | 
|  | 
| Ima na Bosco wakichuja wari o mbeke. | 
|  | 
| Mzee Tony with his sister Katarina | 
|  | 
| If Shangazi Aloisia was there this would be a perfect family snap, the remaining lot of Mzee Thomas Nderumaki's loins. | 
No comments:
Post a Comment