May 24, 2007

Bwawa la maini!!

Kwanza hongereni kwa kipindi cha kwanza cha soka la kuvutia na poleni kwa kipigo. Lakini dont mind even the coach himself appreciated the good job done by the The Rossoneri labda huniamini hebu soma hapa mwenyewe.

May 18, 2007

Mwl. Chum wah key upo?

Kweli kazi ipo!

Halafu mlete ubishi, eti ualimu Kazi?

Mi sijui sana lakini hilo jibu lina look korektle muno hadi nakuwa konvinsd!

Do I need a title?


No idea!


Sina hakika lakini nafikiri naanza kupotoka! Hivi nilipoanza kublog what did i wanted to show the world?



Apr 23, 2007

Sanaa ni Kioo


Sina hakika lakini nafikiri bado unamkumbuka Bi. Mkora wa Majira, gazeti huru la kila siku. Mcheki hapa! Yuko full ooi!

Apr 13, 2007

Ze Dustbin!

Ndugu wadau haka kaPasaka kanakoishia-ishia nilikuwa mgombani aka Moshi. Leo naandika kwa sababu kuna vitu viwili hivi nilivyoviona nataka ku-share.
Kwanza, usafi. Inawezekana na ninakubali kuwa Moshi ni kamji kadogo, pia hakana population kubwa hasa ikifika jioni kwani waChagga wote hukimbilia Machame, Marangu, Kiwoso, Mwika na kwingineko kulala lakini jamani Moshi kusafi. Kilichonivutia zaidi ni hawa akina mama wauza ndizi mbivu. Wako wengi siku hizi pale Moshi. Wanatembeza ndizi zao kichwani mji mzima. Wao tofauti na sehemu nyingine, ukinunua ndizi na ukaonyesha dalili kwamba utaila hapohapo, watakusubiri umenye, ule halafu wachukue ganda. Nilimuona mmoja kabeba ndizi kwenye sijui tenga lile? Pamoja na maganda yake. Halafu akafika kwenye “dustbin” (Kiswahili hapa nini?, kopo la taka?; kiwekea taka?; Msaada kwenye tuta!) nakumbuka ilikuwa ni pale Kibo Coffee Bar, akasimama aka-unload maganda aliyokusanya kwenye mizunguko yake akaondoka. Umombo hapa ; I was really moved!

Pili, vitambulisho kwa chingaz pale bus stand. Kumbe hili nalo linawezekana, kuwawezesha vijana wajasiriamali kutambulika kama waajiriwa wengine. Pale kituo kikuu cha mabasi wana kautaratibu ambako kamenifurahisha. All chingaz aka wamachinga aka marching guys/ladies wana vitambulisho na sare? (uniform). Wauza mkate, wauza matunda wote, moja wanavaa makoti (kama yale ya waganga) meupe au hudhurungi mgongoni ymeandikwa kwa maandishi makubwa:

  • Muuza mikate Stend: Fuata sheria za Stendi
  • Muuza matunda (ndizi?): Fuata sheria za Stendi
  • Chinga Room No. XX: Fuata sheria za Stendi

Mbili wana vitambulisho vyenye picha, jina na stamp ya meneja wa stand. Safi hiyo!
Mimi nafikiri hii ni changamoto kwa town councils, municipalities na city councils nyingine hapa TZ na East Africa kwa ujumla na pia kwetu cityzens kwamba usafi unaanza na sisi wenyewe. Halafu baadae waje site (soma ilivyo sio neno la kiIngereza) au manispaa.
Kalaghabaho!!!

Mar 23, 2007

AFTER LONG!

Hullo outta there! It has been long since I last wrote phew! My fault? May be! Well, I had this two-week time stuck up for the Nashunal diploma in Education Exams and then goes to this other side of the country where Internet is an alien thing. After a long walks and fruitless effort over getting a job, I finally struck one at Edmund Rice Sinon Secondary School in Arusha. I’m yet to get settled. Lots to do, plan, write, mark, just a hectic of a thing!
So wadau, be informed that I’ll be coming to you live from ERSSS in A-town. I’m getting to know around and I think there will be much to talk about over few days.
At present I’m teaching something like 25 periods a week. Geography in F.3 D, Civics in Form 3 (About 200 kids!) and English in Form 4 B. To be honest I never wanted to do any Civics whatsoever, but well I’m doing it. Be told, the thing is boring and I really hate it and it does hate me too, equally!

Feb 8, 2007

The 'un'grad Grad-new

Don't be suprised and think i was enrolled for a degree programme somewhere and i did not tell you.
Its just a 'kokoto' you know dis days even in kindergarten they are wearing this big, black, ugly, unfitting gown. @@##$%^^**&&Y(*((

Feb 4, 2007

The 'un'grad Grad-contd


Wakati wenzangu wakiwa wanajaribu grad gowns zao mi nlikuwa niko kwenye display ya Geo. Huyu mzee nnamwelezea kuhusu kutumia ICT in Geo teaching and learning. I sometimes wonder I've got this very serious looking face that I'm afraid to take photos of me.

Feb 3, 2007

(Ma)geuzi/pinduzi ya Web 2.0

Siyo tu kwamba sasa webuni hakuna mmiliki, bali ni juu yako wewe na mimi kuangaza na kujidai.
Lakini ni nini hasa, hebu jifunze hapa

Feb 2, 2007

The 'un'grad Grad-contd


Siku ya grad nlikuwa na cam, ndugu yangu askwambie mtu kalinipa shida sana hasa kupata pics za watu important kama liMbwambo(kulia) shot kabisa ni Digna-deg 2 na Emma.
Yeye: Oya Nderu ntakubonda #$%^&* zako!
Wao: Mwache apige afu tunataka tuone tutatokaje! Eti utaziprint?
Mimi: Mwana tulia basi, weka na pozi afu tuone ztatoka vp mbona unataka kumind ishu zenyewe laini tuu....

The 'un'grad Grad-contd

Hii ilitokea kabla ya mass morning ya grad!
Ke: Nauliza hivi, ulivyovaa ndivyo tulivyoagana jana?
Me: Usimind mbona mambo madogo. Ile ingine ntavaa baada ya mass, c unajua tena!
Ke: Aka! nnchosema kabadilishe au nkumind asa ivi*&^%$#
Me: Poa basi niko na masela unnrusha au we huoni?
(Sasa ndugu msomaji nsaidie kumalizia haka ka dialogue)
Ke:......
Me:.....
Shoto kule ni Emily Macha na misez Veronica Mahaja

The 'un'grad Grad-contd



Tuimbe wote;
Moja, mbili, tatu twende kazi.....
Suuupu ya kuku wa kienyejiii ni taaamu sanaaaa....
Hata umle mkavu ni tamuuu saaana......

IPCC reports today on Global Warming

Today in the news it’s all about ‘global warming’, ‘climate change’ and of course ‘IPCC’. Its not that the terms are new, it’s because it’s now or never.

The concern: the report by the IPCC, formed in 1988 by the UN, it is tasked to carry out studies on the causes, impacts, and propose practical solutions as to ‘climate change’ (the term is considered to be more ‘appealing’ not as scary as ‘global warming’). Today in Paris the panel after consultations that lasted for some 4 good days issued their long awaited report and as expected, placed the blame on the ‘humans we’ ,for unscrupulous we are, have fueled the trend with our greed, ignorance, lustfulness. The world is energy hungry. Our economies depend on fossil fuel. And yet some wouldn’t buy the call to minimize, to switch to alternative cleaner, efficient energy sources, America, the cesspool, being one of them. Shame on you. The big USA, Russia and much of the Western Europe plus the emerging economies of China and India are the major criminals.

As Time and Newsweek have reported China, for instance, depends wholly in power generated from coal-fired power station. And we know how good coal can be.

Scientists know and have confirmed that climate change isn’t as new but the speed that is witnessed at this time is the problem. Climate change has been there since time immemorial and that’s why we don’t have dinosaurs no more and lot other creature and plants.

Now the problem is at the new study which was conducted by more than 60 scientists from all over the world. In less than 90 years to come there would be an increase of around 1.1 degrees Celsius to 6.4 degrees Celsius!! Dead we be!!

Now should we run, move to an alien planet? Or we stay and face the results our mess. It has to be everybody’s role and concern to do something for the good for our lovely sick Earth. For centuries she has protected, fed, enrich us without grudges, now what are you doing to see her not perish but continuing to flourish and be a good place to live for you and the coming generations? May be the damage cannot be repaired but we halt the destruction.

It can be done; you just have to play your part!!


Jan 31, 2007

Jan 23, 2007

Eti, anasoma hapo kweli

Asikwambie mtu wala hasomi chochote huyo anazuga tu time zisambae. Ilikuwa Sunday jioni hivi! We fikiria tu with reality day kama hiyo...
She's Basilisa mi big flend and MWUCEs librarian.

Jan 21, 2007

Ima and 'Shem':Karibu!!


She came with Ima (guessed anything yet?) Basi when she was browsing Ima akaamua kujichimbia na gazeti kunako makochi makali ya library.
Hii shoot ala hakuistukia. Comment on pozi if you can!

Introducing Maria (Mary?)
Hapa ni Maria, humjui lakini ntakwambia next taim. Ka email kake kalikuwa kamekufa akakafufua na kutuma bonge(sijui niseme ndefu?) la email. Safi hiyo!