Jan 23, 2007

Eti, anasoma hapo kweli

Asikwambie mtu wala hasomi chochote huyo anazuga tu time zisambae. Ilikuwa Sunday jioni hivi! We fikiria tu with reality day kama hiyo...
She's Basilisa mi big flend and MWUCEs librarian.

Jan 21, 2007

Ima and 'Shem':Karibu!!


She came with Ima (guessed anything yet?) Basi when she was browsing Ima akaamua kujichimbia na gazeti kunako makochi makali ya library.
Hii shoot ala hakuistukia. Comment on pozi if you can!

Introducing Maria (Mary?)
Hapa ni Maria, humjui lakini ntakwambia next taim. Ka email kake kalikuwa kamekufa akakafufua na kutuma bonge(sijui niseme ndefu?) la email. Safi hiyo!