Oct 13, 2007

Barabara

  1. At last barabara ya kuelekea Mang'ola mpaka hukoMatala Singida imeanza kutengenezwa. Sio kwa kiwango cha lami bali kukwanguliwa tu na kuongezwa tabaka la gravel. Hatua hii mbaya sana lakini watu wa malori hajafurahi biashara ndoh ivo tena itavamiwa na watu wenye hata pickup kubeba kitunguu cha Mang'ola,Malekchanda nk.
  2. Fomu kwa ajili ya kujiunga na Pre-form one zinatolewa. Bei shs 3000, sharti awe msichana (mwaka huu hatutaki boys for good!) aliyemaliza std 7 mwaka huu au uliopita. Entrance exam tar 10 Nov. KARIBU

The Mag afterall finished n out!


Well the life at Mang'ola esp AnnaGamazo wasn't that bad afterall. I was appointed to ensure that the school mag is well typed, edited and printed to the quality. It cost my pocket but with some sweet fruits and am proud!The pics are for the front and back pages. The whole thing had 32 pages, some 20 pics, 2 cartoons, about 40 articles, stories, features and others.