Hii mimi imenishtua na kunishangaza. Eti, si death sentence a punishment for all who kill their fellow human beings. Good asa mi nnavyoelewa punishment should teach a lesson to the doer of the action and also to the public not to do the same lakini ukiua afu nawe ukanyongwa utakuwa umejifunza nini? Afu tutakuwa tunawafunza nini watoto. Usishangae mtoto kaibiwa mdoli naye akaua si nyie watu wazima mnaua vilevile!!!
Sasa baada ya Saddam nduguze nao wamefuata . Mmoja akawa miscalculated mpaka shingo ikang'oka . Sijui lakini nafikiri its too bad. Soma mwenyewe
Way last week I vowed not to watch, listen or read news sasa we kila siku ni Iraq, Somalia, Darfur, War, hangings, coups, dictators aagh me is now tired.
No comments:
Post a Comment