Jul 29, 2007

Nipo Mang'ola Chini

Well mimi ni mzima, naomba kutao ka taarifa kuwa kwa sasa sipo tena Edmund Rice bali nimekimbilia porini wilaya ya Karatu ka shule kanaitwa Anna Gamazo. Huko hakuna internet hivyo habari na picha zaidi labda at the end of the moon nikija town. Kuna mengi ya kueleza, picha na matukio. Hivi unajua kuwa vitunguu unavyoungia mboga viinatoka mitaa ya huko nilipo? The land is fascinating dry, stony, windy but deadly rich-soil valley where maize, onions, rice and many others grow.

Huku wamejaa WaTindiga, WaIrawq, na makabila mengine hasa yale ya Stone Age
pia WaChagga wapo wengi na ndio wamiliki wakubwa, kama kawaida yao, wa maduka na baa.

Climate ya huku very frustating, you can't tell whether its semi-desert, but it has a valley whose land produces hefty.

Shule iko financed na lady toka Spain called Anna Gamazo thru her organisation called AGH (Anna Gamazo Humanitarian Foundation?) well kitu kama hiyo.
Kama kawida nafundisha Geo na Eng, classes are smaller here and students though not very able but can!
Next taim!!

No comments: