Dec 21, 2007

Season's Greetings

'ts going to be Eid el Hajj, I hear there are usually lots of slaughtering here: goats and sheep are favourites, closely followed by X-Mas and after a week for those who'll be lucky New Year 2009. Nimekwenda kijijini, tunavyoondoka mujini kwenda huko tunataniwa kuwa tunaenda kwa sensa aka kuhesabiwa, wengine wanasema roll call na mengineyo. Labda kubwa ni kuwa Yesu atazaliwa Moshi kama kawaida na atashuka toka mlima Kili. Kama hutaki wala sikulazimishi. Usiku wa kuamkia leo ni balaa, bojo aka mvua ya maana imemwagika Shimbwe, Kishumundu na wapi huko sijui hakuendeki.
Mbarikiwe!!!

2 comments:

Anonymous said...

Gostei muito desse post e seu blog é muito interessante, vou passar por aqui sempre =) Depois dá uma passada lá no meu site, que é sobre o CresceNet, espero que goste. O endereço dele é http://www.provedorcrescenet.com . Um abraço.

Anonymous said...

Hello. This post is likeable, and your blog is very interesting, congratulations :-). I will add in my blogroll =). If possible gives a last there on my blog, it is about the Monitor de LCD, I hope you enjoy. The address is http://monitor-de-lcd.blogspot.com. A hug.