Yule Tony niliyesema ni mtoto wa mdogo wangu Imma amebatizwa Jumapili ya tarehe 27 parokiani Maua na mimi kupata heshima ya kuwa Baba wa Ubatizo.
Baadaye tukawasha mshumaa ambao kutokana na 'ubao' mkali uliokuwa nao Tony uliosababishwa na kucheleweshwa kuanza ibada alikuwa ameshautafuna haswa!
Enewei, kwa sasa anaitwa Anthony Mchili.
Hapo chini ndo family yenyewe.
No comments:
Post a Comment