Oct 8, 2010

Msibani

Labda nilikuwa in such pain, sikukumbuka kupiga picha wakati wa msiba though nilikuwa na kamera. Hizi hapa chini ni za Jumapili siku tulipoanua tanga. Kuna kitu inaitwa 'kutoa wafiwa outingi'.


The big Mboros, R to L; Mzee Anthony, Shangazi Katarina, BaMdogo Bernard, Mzee John, Mzee Joachim na kule mwisho a very veteran teacher Mzee Bruno.

 Kulikuwa na kamburu pia, R to L Anthony, Mzee John, Mzee Ben, Capt. (rtd) Willy na Adam.
Ima na Bosco wakichuja wari o mbeke.

Mzee Tony with his sister Katarina

If Shangazi Aloisia was there this would be a perfect family snap, the remaining lot of Mzee Thomas Nderumaki's loins.

No comments: