Sikuahidi kuweka picha lakini nimepata picha nzuri kutoka kwa baba Paroko Pd. Miguel aliyekuwepo siku hiyo. Nafikiri itakuwa vizuri kama tutashea.
Haya ni maigizo kutoka kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita wa Anna Gamazo sekondari. Unaweza kushuhudia impact ya akina Masanja na Joti kwenye outfits. Nafikiri hapo kuna Jackson, Pastor, Salangati, na .....
Ujumbe mzito na wazi kabisa. Sehemu ya umati.
No comments:
Post a Comment